Adh-Dhaariyat 51:26 فراغ الى اهله فجاء بعجل سمين ٢٦
فَرَاغَ
إِلَىٰٓ
أَهۡلِهِۦ
فَجَآءَ
بِعِجۡلٖ
سَمِينٖ
٢٦
Akenda kwa ahali yake na akaja na ndama aliye nona. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Akaondoka kwa siri na akaelekea kwa watu wa nyumbani kwake akamlenga ndama mnono akamchinja, akamchoma