Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Tafsir: Adh-Dhaariyat 51:30

51:30
قالوا كذالك قال ربك انه هو الحكيم العليم ٣٠
قَالُوا۟ كَذَٰلِكِ قَالَ رَبُّكِ ۖ إِنَّهُۥ هُوَ ٱلْحَكِيمُ ٱلْعَلِيمُ ٣٠
قَالُواْ
كَذَٰلِكِ
قَالَ
رَبُّكِۖ
إِنَّهُۥ
هُوَ
ٱلۡحَكِيمُ
ٱلۡعَلِيمُ
٣٠
Wakasema: Ndivyo vivyo hivyo alivyo sema Mola wako Mlezi. Hakika Yeye ni Mwenye hikima na Mwenye kujua. 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
Malaika wa Mwenyezi Mungu wakamwambia, «Hivyo ndivyo Alivyosema Mola wako kama tulivyokwambia. Na Yeye Muweza wa hilo, hapana la ajabu kutokana na uweza Wake. Hakika Yeye, Aliyetakasika na kutukuka, Ndiye Mwenyew hekima Anayeviweka vitu mahali pake, Ndiye Mwenye kuyajua maslahi ya waja Wake.