Adh-Dhaariyat 51:34 مسومة عند ربك للمسرفين ٣٤
مُّسَوَّمَةً
عِندَ
رَبِّكَ
لِلۡمُسۡرِفِينَ
٣٤
Yaliyo tiwa alama kutoka kwa Mola wako Mlezi kwa ajili ya wanao pindukia mipaka. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
uliotiwa alama kutoka kwa Mola wako ya hawa waliokiuka mpaka katika uchafu na uasi.