Adh-Dhaariyat 51:41 وفي عاد اذ ارسلنا عليهم الريح العقيم ٤١
وَفِي
عَادٍ
إِذۡ
أَرۡسَلۡنَا
عَلَيۡهِمُ
ٱلرِّيحَ
ٱلۡعَقِيمَ
٤١
Na katika khabari za A'di tulipo wapelekea upepo wa kukata uzazi. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na kuhusu mambo ya watu wa kabila la 'Ād na kuwaangamiza wao kuna dalili na mazingatio kwa mwenye kutia mambo akilini, tulipowapelekea wao upepo usiokuwa na baraka na usioleta kheri yoyote,
Na kuhusu mambo ya watu wa kabila la 'Ād na kuwaangamiza wao kuna dalili na mazingatio kwa mwenye kutia mambo akilini, tulipowapelekea wao upepo usiok…