Adh-Dhaariyat 51:43 وفي ثمود اذ قيل لهم تمتعوا حتى حين ٤٣
وَفِي
ثَمُودَ
إِذۡ
قِيلَ
لَهُمۡ
تَمَتَّعُواْ
حَتَّىٰ
حِينٖ
٤٣
Na katika khabari za Thamudi walipo ambiwa: Jifurahisheni kwa muda mdogo tu. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na kuhusu watu wa kabila la Thamūd na kuangamizwa kwao kuna dalili na mazingatio, walipoambiwa-na msemaji hapa ni Nabii wao Ṣāliḥ, amani imshukie-, «Jistarehesheni mjini kwenu siku tatu mpaka muda wenu wa kuishi ukome.
Na kuhusu watu wa kabila la Thamūd na kuangamizwa kwao kuna dalili na mazingatio, walipoambiwa-na msemaji hapa ni Nabii wao Ṣāliḥ, amani imshukie-, «J…