Adh-Dhaariyat 51:45 فما استطاعوا من قيام وما كانوا منتصرين ٤٥
فَمَا
ٱسۡتَطَٰعُواْ
مِن
قِيَامٖ
وَمَا
كَانُواْ
مُنتَصِرِينَ
٤٥
Basi hawakuweza kusimama wala hawakuwa wenye kujitetea. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Haikumkinika wao kukimbia wala kusimama kwa adhabu waliokuwa nayo, na hawakuwa ni wenye kujitetea nafsi zao.