Adh-Dhaariyat 51:49 ومن كل شيء خلقنا زوجين لعلكم تذكرون ٤٩
وَمِن
كُلِّ
شَيۡءٍ
خَلَقۡنَا
زَوۡجَيۡنِ
لَعَلَّكُمۡ
تَذَكَّرُونَ
٤٩
Na katika kila kitu tumeumba kwa jozi ili mzingatie. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na kutokana na kila kitu katika jinsi ya vitu vilivyoko tumeumba aina mbili tafauti, ili mjikumbushe uweza wa Mwenyezi Mungu na mzingatie.