Adh-Dhaariyat 51:55 وذكر فان الذكرى تنفع المومنين ٥٥
وَذَكِّرۡ
فَإِنَّ
ٱلذِّكۡرَىٰ
تَنفَعُ
ٱلۡمُؤۡمِنِينَ
٥٥
Na kumbusha, kwani ukumbusho huwafaa Waumini. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Pamoja na kuwapuuza wao, ewe Mtume, na kutoshughulika na ufidhuli wao, endelea kuwaidhia wale uliotumilizwa kwao, kwani kukumbusha na kuwaidhia watanufaika nako wale wenye nyoyo zenye kuamini, na katika kufanya mawili hayo kuna kusimamisha hoja kwa wenye kupa mgongo.
Pamoja na kuwapuuza wao, ewe Mtume, na kutoshughulika na ufidhuli wao, endelea kuwaidhia wale uliotumilizwa kwao, kwani kukumbusha na kuwaidhia watanu…