Adh-Dhaariyat 51:6 وان الدين لواقع ٦
وَإِنَّ
ٱلدِّينَ
لَوَٰقِعٞ
٦
Na kwa hakika malipo bila ya shaka yatatokea. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
na kwamba kuhesabiwa na kulipwa mema kwa amali njema ni jambo lisilo na budi.