Adh-Dhaariyat 51:8 انكم لفي قول مختلف ٨
إِنَّكُمۡ
لَفِي
قَوۡلٖ
مُّخۡتَلِفٖ
٨
Hakika nyinyi bila ya shaka mmo katika kauli inayo khitalifiana. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
mko kwenye neno linalogongana kuhusu Qur’ani na kuhusu Mtume, rehema ya Mwenyezi Mungu na amani zimshukie.