Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Tafsir: Adh-Dhaariyat 51:9

51:9
يوفك عنه من افك ٩
يُؤْفَكُ عَنْهُ مَنْ أُفِكَ ٩
يُؤۡفَكُ
عَنۡهُ
مَنۡ
أُفِكَ
٩
Anageuzwa kutokana na haki mwenye kugeuzwa. 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
Anaepushwa na Qur’ani na Mtume yule aliyeepushwa na lile la kuviamini hivyo viwili kwa kuzipa mgongo dalili za Mwenyezi Mungu na hoja Zake za yakini, na kwa hivyo haafikiwi kwenye kheri.