Adh-Dhuhaa 93:4 وللاخرة خير لك من الاولى ٤
وَلَلۡأٓخِرَةُ
خَيۡرٞ
لَّكَ
مِنَ
ٱلۡأُولَىٰ
٤
Na bila ya shaka wakati ujao utakuwa bora kwako kuliko ulio tangulia. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na Nyumba ya Akhera ni bora kwako kuliko nyumba ya ulimwengu.