Al-Aadiyat 100:11 ان ربهم بهم يوميذ لخبير ١١
إِنَّ
رَبَّهُم
بِهِمۡ
يَوۡمَئِذٖ
لَّخَبِيرُۢ
١١
Kuwa hakika Mola wao Mlezi siku hiyo bila ya shaka atakuwa na khabari zao wote! 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Hakika Mola wao kwao na kwa amali zao, Siku Hiyo, ni Mtambuzi; hakuna chenye kufichamana Kwake.