Al-Aadiyat 100:9 ۞ افلا يعلم اذا بعثر ما في القبور ٩
۞ أَفَلَا
يَعۡلَمُ
إِذَا
بُعۡثِرَ
مَا
فِي
ٱلۡقُبُورِ
٩
Kwani hajui watakapo fufuliwa waliomo makaburini? 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Kwani binadamu hajui linalomngojea mbele yake, pindi Mwenyezi Mungu Atakapowatoa wafu makaburini waende kuhesabiwa na kulipwa?