Al-Aaraf 7:110 يريد ان يخرجكم من ارضكم فماذا تامرون ١١٠
يُرِيدُ
أَن
يُخۡرِجَكُم
مِّنۡ
أَرۡضِكُمۡۖ
فَمَاذَا
تَأۡمُرُونَ
١١٠
Anataka kukutoeni katika nchi yenu. Basi mnatoa shauri gani?. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
«Yuwataka kuwatoa nyinyi nyote kwenye nchi yenu.» Fir'awn akasema, «Mnanipa shauri gani, enyi watu watukufu, juu ya mambo ya Mūsā?»