Al-Aaraf 7:114 قال نعم وانكم لمن المقربين ١١٤
قَالَ
نَعَمۡ
وَإِنَّكُمۡ
لَمِنَ
ٱلۡمُقَرَّبِينَ
١١٤
Akasema: Naam! Nanyi bila ya shaka mtakuwa katika wa karibu nami. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Fir'awn akasema, «Ndio, mtakuwa na malipo na ukaribu na mimi mkimshinda.»