Al-Aaraf 7:115 قالوا يا موسى اما ان تلقي واما ان نكون نحن الملقين ١١٥
قَالُواْ
يَٰمُوسَىٰٓ
إِمَّآ
أَن
تُلۡقِيَ
وَإِمَّآ
أَن
نَّكُونَ
نَحۡنُ
ٱلۡمُلۡقِينَ
١١٥
Wakasema: Ewe Musa! Je, utatupa wewe, au tutakuwa sisi tutao tupa? 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Wakasema wachawi wa Fir'awn kumwambia Mūsā, kwa njia ya kujiona na kutojali. «Ewe Mūsā, chaguwa uwe ni wa mwanzo kutupa fimbo yako au tuwe sisi ni wa mwanzo kutupa.»
Wakasema wachawi wa Fir'awn kumwambia Mūsā, kwa njia ya kujiona na kutojali. «Ewe Mūsā, chaguwa uwe ni wa mwanzo kutupa fimbo yako au tuwe sisi ni wa …