Al-Aaraf 7:120 والقي السحرة ساجدين ١٢٠
وَأُلۡقِيَ
ٱلسَّحَرَةُ
سَٰجِدِينَ
١٢٠
Na wachawi wakapoomoka wakisujudu. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Wakapomoka wachawi kwa nyuso zao kwa kumsujudia Mola wa viumbe wote, kwa uwezo mkubwa wa Mwenyezi Mungu waliouona.