Al-Aaraf 7:123 قال فرعون امنتم به قبل ان اذن لكم ان هاذا لمكر مكرتموه في المدينة لتخرجوا منها اهلها فسوف تعلمون ١٢٣
قَالَ
فِرۡعَوۡنُ
ءَامَنتُم
بِهِۦ
قَبۡلَ
أَنۡ
ءَاذَنَ
لَكُمۡۖ
إِنَّ
هَٰذَا
لَمَكۡرٞ
مَّكَرۡتُمُوهُ
فِي
ٱلۡمَدِينَةِ
لِتُخۡرِجُواْ
مِنۡهَآ
أَهۡلَهَاۖ
فَسَوۡفَ
تَعۡلَمُونَ
١٢٣
Akasema Firauni: Mmemuamini kabla sijakupeni idhini? Hizi ni njama mlizo panga mjini mpate kuwatoa wenyewe. Lakini karibu mtajua! 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Fir'awn akasema kuwaambia wachawi, «Mumemuamini Mwenyezi Mungu kabla sijawapa idhini mumuamini? Hakika kumuamini kwenu Mwenyezi Mungu, kumsadiki kwenu Mūsā na kuukubali kwenu unabii wake ni hila mlizozipanga nyinyi na Mūsā ili muwatoe watu wa mji wenu kutoka humo, na ili muzivamie heri zake na mufai…
Fir'awn akasema kuwaambia wachawi, «Mumemuamini Mwenyezi Mungu kabla sijawapa idhini mumuamini? Hakika kumuamini kwenu Mwenyezi Mungu, kumsadiki kwenu…