Al-Aaraf 7:125 قالوا انا الى ربنا منقلبون ١٢٥
قَالُوٓاْ
إِنَّآ
إِلَىٰ
رَبِّنَا
مُنقَلِبُونَ
١٢٥
Wakasema: Sisi ni wenye kurejea kwa Mola wetu Mlezi. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Walisema wachawi kumwambia Fir'awn, «Tuna uhakika kwamba sisi ni wenye kurejea kwa Mwenyezi mungu na kwamba adhabu Yake ni kali zaidi kushinda adhabu yako. Tutasuburi kikwelikweli leo kwa adhabu yako, tupate kuokoka na adhabu ya Mwenyezi Mungu Siku ya Kiyama.
Walisema wachawi kumwambia Fir'awn, «Tuna uhakika kwamba sisi ni wenye kurejea kwa Mwenyezi mungu na kwamba adhabu Yake ni kali zaidi kushinda adhabu …