Walipo jifakharisha katika waliyo kanywa tuliwaambia: Kuweni manyani wa kudharauliwa. 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
Basi pote hilo lilipoasi na likayakiuka yale ambayo Mwenyezi Mungu Alioyakataza ya kutowinda siku ya siku ya Jumamosi, Mwenyezi Mungu Aliwaambia (watu wa pote hilo), «Kuweni manyani hali ni wanyoge ni wenye kuwekwa mbali na kila jema.» Na wakawa hivyo.