Al-Aaraf 7:47 ۞ واذا صرفت ابصارهم تلقاء اصحاب النار قالوا ربنا لا تجعلنا مع القوم الظالمين ٤٧
۞ وَإِذَا
صُرِفَتۡ
أَبۡصَٰرُهُمۡ
تِلۡقَآءَ
أَصۡحَٰبِ
ٱلنَّارِ
قَالُواْ
رَبَّنَا
لَا
تَجۡعَلۡنَا
مَعَ
ٱلۡقَوۡمِ
ٱلظَّٰلِمِينَ
٤٧
Na yanapo geuzwa macho yao kuelekea watu wa Motoni, watasema: Mola Mlezi wetu! Usitujaalie kuwa pamoja na watu walio dhulumu. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na yatakapogeuzwa macho ya watu wa Al-A’rāf upande wa watu wa Motoni watasema, «Ewe Mola wetu, usitufanye kuwa pamoja na watu madhalimu» kwa ya ushirikina wao na ukafiri wao.
Na yatakapogeuzwa macho ya watu wa Al-A’rāf upande wa watu wa Motoni watasema, «Ewe Mola wetu, usitufanye kuwa pamoja na watu madhalimu» kwa ya ushiri…