Al-Aaraf 7:87 وان كان طايفة منكم امنوا بالذي ارسلت به وطايفة لم يومنوا فاصبروا حتى يحكم الله بيننا وهو خير الحاكمين ٨٧
وَإِن
كَانَ
طَآئِفَةٞ
مِّنكُمۡ
ءَامَنُواْ
بِٱلَّذِيٓ
أُرۡسِلۡتُ
بِهِۦ
وَطَآئِفَةٞ
لَّمۡ
يُؤۡمِنُواْ
فَٱصۡبِرُواْ
حَتَّىٰ
يَحۡكُمَ
ٱللَّهُ
بَيۡنَنَاۚ
وَهُوَ
خَيۡرُ
ٱلۡحَٰكِمِينَ
٨٧
Na kama liko kundi miongoni mwenu lililo amini haya niliyo tumwa, na kundi jengine halikuamini, basi subirini mpaka Mwenyezi Mungu ahukumu baina yetu. Naye ndiye Mbora wa wenye kuhukumu. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na iwapo kundi miongoni mwenu waliyakubali yale Aliyonituma nayo Mwenyezi Mungu na kundi la watu wengine wasiyakubali hayo, basi ngojeni, enyi wakanushaji wa hukumu ya Mwenyezi Mungu inayotoa uamuzi baina yetu na nyinyi, itakapowashukia adhabu Yake ambayo aliwaonya nayo. Na Mwenyezi Mungu, Aliyetuku…
Na iwapo kundi miongoni mwenu waliyakubali yale Aliyonituma nayo Mwenyezi Mungu na kundi la watu wengine wasiyakubali hayo, basi ngojeni, enyi wakanus…