Al-Ahqaf 46:5 ومن اضل ممن يدعو من دون الله من لا يستجيب له الى يوم القيامة وهم عن دعايهم غافلون ٥
وَمَنۡ
أَضَلُّ
مِمَّن
يَدۡعُواْ
مِن
دُونِ
ٱللَّهِ
مَن
لَّا
يَسۡتَجِيبُ
لَهُۥٓ
إِلَىٰ
يَوۡمِ
ٱلۡقِيَٰمَةِ
وَهُمۡ
عَن
دُعَآئِهِمۡ
غَٰفِلُونَ
٥
Na nani mpotofu mkubwa kuliko hao wanao waomba, badala ya Mwenyezi Mungu, ambao hawatawaitikia mpaka Siku ya Kiyama, na wala hawatambui maombi yao. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Hakuna aliyepotea zaidi wala aliye mjinga zaidi kuliko yule anayewaomba waungu wengine badala ya Mwenyezi Mungu, wasioitikia maombi yake kabisa mpaka Siku ya Kiyama, kwa kuwa waungu hao ni wafu au mawe au miti na mfano wa hivyo, na hali hivyo havina habari ya maombi ya huyo mwenye kuviabudu, havina …
Hakuna aliyepotea zaidi wala aliye mjinga zaidi kuliko yule anayewaomba waungu wengine badala ya Mwenyezi Mungu, wasioitikia maombi yake kabisa mpaka …