Al-Ahqaf 46:7 واذا تتلى عليهم اياتنا بينات قال الذين كفروا للحق لما جاءهم هاذا سحر مبين ٧
وَإِذَا
تُتۡلَىٰ
عَلَيۡهِمۡ
ءَايَٰتُنَا
بَيِّنَٰتٖ
قَالَ
ٱلَّذِينَ
كَفَرُواْ
لِلۡحَقِّ
لَمَّا
جَآءَهُمۡ
هَٰذَا
سِحۡرٞ
مُّبِينٌ
٧
Na wanapo somewa Aya zetu zilizo wazi, walio kufuru husema juu ya haki inapo wajia: Huu ni uchawi dhaahiri. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na washirikina wanaposomewa aya zetu zilizobainishwa waziwazi, wanasema hao makafiri wakati ule Qur’ani inapowajia, “Huu ni uchawi waziwazi.”