Al-Ahzab 33:11 هنالك ابتلي المومنون وزلزلوا زلزالا شديدا ١١
هُنَالِكَ
ٱبۡتُلِيَ
ٱلۡمُؤۡمِنُونَ
وَزُلۡزِلُواْ
زِلۡزَالٗا
شَدِيدٗا
١١
Hapo ndipo Waumini walipo jaribiwa, na wakatikiswa mtikiso mkali. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Katika msimamo huo mgumu, Imani za Waumini zilijaribiwa na watu wakakaguliwa, na akajulikana mnafiki kwa kutengwa na Muumini, na wakasukikasukika msukosuko mkali kwa kuingiwa na kicho na babaiko, ili Imani yao ibainike na yakini yao izidi
Katika msimamo huo mgumu, Imani za Waumini zilijaribiwa na watu wakakaguliwa, na akajulikana mnafiki kwa kutengwa na Muumini, na wakasukikasukika msuk…