Al-Ahzab 33:31 ۞ ومن يقنت منكن لله ورسوله وتعمل صالحا نوتها اجرها مرتين واعتدنا لها رزقا كريما ٣١
۞ وَمَن
يَقۡنُتۡ
مِنكُنَّ
لِلَّهِ
وَرَسُولِهِۦ
وَتَعۡمَلۡ
صَٰلِحٗا
نُّؤۡتِهَآ
أَجۡرَهَا
مَرَّتَيۡنِ
وَأَعۡتَدۡنَا
لَهَا
رِزۡقٗا
كَرِيمٗا
٣١
NA MIONGONI mwenu atakeye mt'ii Mwenyezi Mungu na Mtume wake, na akatenda mema, tutampa malipo yake mara mbili, na tutamwandalia riziki ya ukarimu. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na mwenye kumtii Mwenyezi Mungu na Mtume Wake kati yenu na akafanya matendo Aliyoyaamrisha Mwenyezi Mungu , tutampa malipo mema ya matendo yake mara mbili zaidi ya malipo ya asiyekuwa yeye kati ya wanawake wengine, na tumemuandalia yeye riziki nzuri, nayo ni Pepo.
Na mwenye kumtii Mwenyezi Mungu na Mtume Wake kati yenu na akafanya matendo Aliyoyaamrisha Mwenyezi Mungu , tutampa malipo mema ya matendo yake mara m…