Al-Ahzab 33:44 تحيتهم يوم يلقونه سلام واعد لهم اجرا كريما ٤٤
تَحِيَّتُهُمۡ
يَوۡمَ
يَلۡقَوۡنَهُۥ
سَلَٰمٞۚ
وَأَعَدَّ
لَهُمۡ
أَجۡرٗا
كَرِيمٗا
٤٤
Maamkiano yao siku ya kukutana naye yatakuwa: Salama! Na amewaandalia malipo ya ukarimu. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Maamkizi ya hawa Waumini kutoka kwa Mwenyezi Mungu huko Peponi Siku ya wao kukutana na Yeye ni Salām na amani kwao kutokana na adhabu ya Mwenyezi Mungu. Na Amewaandalia wao malipo Mazuri, nayo ni Pepo.
Maamkizi ya hawa Waumini kutoka kwa Mwenyezi Mungu huko Peponi Siku ya wao kukutana na Yeye ni Salām na amani kwao kutokana na adhabu ya Mwenyezi Mung…