Al-Ahzab 33:62 سنة الله في الذين خلوا من قبل ولن تجد لسنة الله تبديلا ٦٢
سُنَّةَ
ٱللَّهِ
فِي
ٱلَّذِينَ
خَلَوۡاْ
مِن
قَبۡلُۖ
وَلَن
تَجِدَ
لِسُنَّةِ
ٱللَّهِ
تَبۡدِيلٗا
٦٢
Hii ni ada ya Mwenyezi Mungu iliyo kuwa kwa wale walio pita zamani. Wala hutapata mabadiliko katika ada ya Mwenyezi Mungu. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Huu ndio mpango wa Mwenyezi Mungu na njia Yake kuhusu ummah waliopita, ni kuwa watekwe na wawe ni wenye kuuawa popote waliopo. Na hutapata , ewe Nabii, mageuzi wala mabadiliko katika njia ya Mwenyezi Mungu.
Huu ndio mpango wa Mwenyezi Mungu na njia Yake kuhusu ummah waliopita, ni kuwa watekwe na wawe ni wenye kuuawa popote waliopo. Na hutapata , ewe Nabii…