Al-An-Am 6:64 قل الله ينجيكم منها ومن كل كرب ثم انتم تشركون ٦٤
قُلِ
ٱللَّهُ
يُنَجِّيكُم
مِّنۡهَا
وَمِن
كُلِّ
كَرۡبٖ
ثُمَّ
أَنتُمۡ
تُشۡرِكُونَ
٦٤
Sema: Mwenyezi Mungu hukuokoeni kutoka hayo, na kutoka kila mashaka, na kisha nyinyi mnamshirikisha! 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Waambie, ewe Mtume, «Mwenyezi Mungu, Peke Yake, Ndiye Mwenye kuwaokoa na vitisho hivyi na kila tatizo, kisha nyinyi baada ya hapo mnawashirikisha wengine pamoja Naye katika ibada.»
Waambie, ewe Mtume, «Mwenyezi Mungu, Peke Yake, Ndiye Mwenye kuwaokoa na vitisho hivyi na kila tatizo, kisha nyinyi baada ya hapo mnawashirikisha weng…