Al-An-Am 6:66 وكذب به قومك وهو الحق قل لست عليكم بوكيل ٦٦
وَكَذَّبَ
بِهِۦ
قَوۡمُكَ
وَهُوَ
ٱلۡحَقُّۚ
قُل
لَّسۡتُ
عَلَيۡكُم
بِوَكِيلٖ
٦٦
Na watu wako wameikanusha, nayo ni Haki. Sema: Mimi sikuwakilishwa juu yenu. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na waliikanusha hii Qur’ani makafiri kati ya watu wako, ewe Mtume; nayo ni kitabu chenye ukweli katika kila kilichokuja nacho, Waambie, «Mimi si mlinzi wala mtunzi juuu yenu. Mimi ni mjumbe wa Mwenyezi Mungu, nawafikishia nyinyi yale niliotumwa nayo kwenu,.
Na waliikanusha hii Qur’ani makafiri kati ya watu wako, ewe Mtume; nayo ni kitabu chenye ukweli katika kila kilichokuja nacho, Waambie, «Mimi si mlinz…