Al-An-Am 6:67 لكل نبا مستقر وسوف تعلمون ٦٧
لِّكُلِّ
نَبَإٖ
مُّسۡتَقَرّٞۚ
وَسَوۡفَ
تَعۡلَمُونَ
٦٧
Kila khabari ina kipindi chake. Nanyi mtakuja jua. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Kila habari ina kituo cha kutulia na kikomo cha kukomea, hapo haki na batili zitafunuka. Na mtajua, enyi makafiri, mwisho wa jambo lenu, itakaposhuka adhabu ya Mwenyezi Mungu kwenu.
Kila habari ina kituo cha kutulia na kikomo cha kukomea, hapo haki na batili zitafunuka. Na mtajua, enyi makafiri, mwisho wa jambo lenu, itakaposhuka …