Na wamesema kwanini hakuteremshiwa Miujiza kutoka kwa Mola wake Mlezi ? Sema: Hakika Mwenyezi Mungu ni muweza wa kuteremsha Miujiza lakini wengi wao hawajui 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
قوله عز وجل : ( وقالوا ) يعني : رؤساء قريش ، ( لولا ) هلا ( نزل عليه آية من ربه قل إن الله قادر على أن ينزل آية ولكن أكثرهم لا يعلمون ) ما عليهم في إنزالها .