Al-Anbiyaa 21:11 وكم قصمنا من قرية كانت ظالمة وانشانا بعدها قوما اخرين ١١
وَكَمۡ
قَصَمۡنَا
مِن
قَرۡيَةٖ
كَانَتۡ
ظَالِمَةٗ
وَأَنشَأۡنَا
بَعۡدَهَا
قَوۡمًا
ءَاخَرِينَ
١١
Na mingapi katika miji iliyo kuwa ikidhulumu tumeiteketeza, na tukawasimamisha baada yao watu wengine. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na kuna miji mingi ambayo watu wake walikuwa madhalimu kwa kukanusha kwao yale ambayo Mitume wao walikuja nayo. Ndipo tukawaangamiza kwa adhabu iliyowamaliza wote, na tukafanya wapatikane watu wengine wasiokuwa wao.
Na kuna miji mingi ambayo watu wake walikuwa madhalimu kwa kukanusha kwao yale ambayo Mitume wao walikuja nayo. Ndipo tukawaangamiza kwa adhabu iliyow…