Al-Anbiyaa 21:110 انه يعلم الجهر من القول ويعلم ما تكتمون ١١٠
إِنَّهُۥ
يَعۡلَمُ
ٱلۡجَهۡرَ
مِنَ
ٱلۡقَوۡلِ
وَيَعۡلَمُ
مَا
تَكۡتُمُونَ
١١٠
Hakika Yeye anajua kauli ya dhaahiri na anajua myafichayo. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Kwa hakika Mwenyezi Mungu Anayajua mnayoyadhihirisha miongoni mwa maneno yenu na mnayoyaficha ndani ya nyoyo zenu, na Atawahesabu kwayo.