Al-Anbiyaa 21:18 بل نقذف بالحق على الباطل فيدمغه فاذا هو زاهق ولكم الويل مما تصفون ١٨
بَلۡ
نَقۡذِفُ
بِٱلۡحَقِّ
عَلَى
ٱلۡبَٰطِلِ
فَيَدۡمَغُهُۥ
فَإِذَا
هُوَ
زَاهِقٞۚ
وَلَكُمُ
ٱلۡوَيۡلُ
مِمَّا
تَصِفُونَ
١٨
Bali tunaitupa kweli juu ya uwongo ikauvunja na mara ukatoweka. Na ole wenu kwa mnayo yazua. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
bali tunaisukuma haki na tunaifafanua, na hapo urongo unapomoka, na punde si punde unaondoka na kupotea. Na nyinyi, enyi washirikina, mtapata adhabu huko Akhera kwa kumsifu kwenu Mola wenu kwa sifa zisizonasibiana na Yeye.
bali tunaisukuma haki na tunaifafanua, na hapo urongo unapomoka, na punde si punde unaondoka na kupotea. Na nyinyi, enyi washirikina, mtapata adhabu h…