Al-Anbiyaa 21:21 ام اتخذوا الهة من الارض هم ينشرون ٢١
أَمِ
ٱتَّخَذُوٓاْ
ءَالِهَةٗ
مِّنَ
ٱلۡأَرۡضِ
هُمۡ
يُنشِرُونَ
٢١
Au wamepata miungu katika ardhi inayo fufua? 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Itakuwa sawa vipi kwa washirikina kujifanyia waungu walemevu kutoka ardhini wasioweza kuhuisha wafu?