Al-Anbiyaa 21:55 قالوا اجيتنا بالحق ام انت من اللاعبين ٥٥
قَالُوٓاْ
أَجِئۡتَنَا
بِٱلۡحَقِّ
أَمۡ
أَنتَ
مِنَ
ٱللَّٰعِبِينَ
٥٥
Wakasema: Je! Umetujia kwa maneno ya kweli au wewe ni katika wachezao tu? 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Wakasema, «Je, neno hili ambalo umekuja nalo kwetu ni la usawa na ukweli, au neno lako ni la mtu anayefanya mzaha na shere, hajui analosema?»