Al-Anbiyaa 21:6 ما امنت قبلهم من قرية اهلكناها افهم يومنون ٦
مَآ
ءَامَنَتۡ
قَبۡلَهُم
مِّن
قَرۡيَةٍ
أَهۡلَكۡنَٰهَآۖ
أَفَهُمۡ
يُؤۡمِنُونَ
٦
Hawakuamini kabla yao watu wa mji tulio uangamiza. Basi, je, wataamini hawa? 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Hakuna mji wowote ulioamini kabala ya makafiri wa Makkah ambao watu wake walitaka miujiza kutoka kwa Mtume wao na ikatokea kweli, bali walikanusha na tukawaangamiza. Basi je, makafiri wa Makkah wataamini iwapo itakuwa miujiza waliyoitaka? Sivyo, wao hawataamini.
Hakuna mji wowote ulioamini kabala ya makafiri wa Makkah ambao watu wake walitaka miujiza kutoka kwa Mtume wao na ikatokea kweli, bali walikanusha na …