Al-Anbiyaa 21:66 قال افتعبدون من دون الله ما لا ينفعكم شييا ولا يضركم ٦٦
قَالَ
أَفَتَعۡبُدُونَ
مِن
دُونِ
ٱللَّهِ
مَا
لَا
يَنفَعُكُمۡ
شَيۡـٔٗا
وَلَا
يَضُرُّكُمۡ
٦٦
Akasema: Basi nyinyi mnawaabudu asiye kuwa Mwenyezi Mungu wasio kufaini kitu wala kukudhuruni? 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Ibrāhīm akasema kwa njia ya kudharau jambo la kuabubudu masanamu, «Vipi mnaabudu masanamu wasionufaisha wanapoabudiwa wala kudhurisha wanapoachwa?