Al-Anbiyaa 21:67 اف لكم ولما تعبدون من دون الله افلا تعقلون ٦٧
أُفّٖ
لَّكُمۡ
وَلِمَا
تَعۡبُدُونَ
مِن
دُونِ
ٱللَّهِۚ
أَفَلَا
تَعۡقِلُونَ
٦٧
Aibu yenu nyinyi na hivyo mnavyo viabudu badala ya Mwenyezi Mungu! Basi nyinyi hamtii akilini? 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Ubaya ni wenu na ni wa waungu wenu mnaowaabudu badala ya Mwenyezi Mungu, Aliyetukuka. Kwani hamutii akili mkajua uovu wa haya mliyonayo?»