Al-Anbiyaa 21:69 قلنا يا نار كوني بردا وسلاما على ابراهيم ٦٩
قُلۡنَا
يَٰنَارُ
كُونِي
بَرۡدٗا
وَسَلَٰمًا
عَلَىٰٓ
إِبۡرَٰهِيمَ
٦٩
Sisi tukasema: Ewe moto! Kuwa baridi na salama kwa Ibrahim! 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Mwenyezi Mungu Akamsaidia Mtume Wake na Akauambia moto, «Kuwa baridi na salama kwa Ibrāhīm!» Hivyo basi asiipate na udhia wala asifikiwe na jambo la kuchukiza.
Mwenyezi Mungu Akamsaidia Mtume Wake na Akauambia moto, «Kuwa baridi na salama kwa Ibrāhīm!» Hivyo basi asiipate na udhia wala asifikiwe na jambo la k…