Al-Anbiyaa 21:86 وادخلناهم في رحمتنا انهم من الصالحين ٨٦
وَأَدۡخَلۡنَٰهُمۡ
فِي
رَحۡمَتِنَآۖ
إِنَّهُم
مِّنَ
ٱلصَّٰلِحِينَ
٨٦
Na tukawaingiza katika rehema yetu. Hakika wao walikuwa katika watu wema. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na tukawatia ndani ya rehema yetu. Kwa hakika wao ni miongoni mwa wale ambao imetengenea ndani yao na nje yao, wakamtii Mwenyezi Mungu na wakafanya matendo yanayolingana na maamrisho Yake.
Na tukawatia ndani ya rehema yetu. Kwa hakika wao ni miongoni mwa wale ambao imetengenea ndani yao na nje yao, wakamtii Mwenyezi Mungu na wakafanya ma…