Al-Anfal 8:3 الذين يقيمون الصلاة ومما رزقناهم ينفقون ٣
ٱلَّذِينَ
يُقِيمُونَ
ٱلصَّلَوٰةَ
وَمِمَّا
رَزَقۡنَٰهُمۡ
يُنفِقُونَ
٣
Hao ambao wanashika Swala na wanatoa katika yale tunayo waruzuku. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Wale ambao wanaendelea kutekeleza Swala zilizofaradhiwa kwa nyakati zake, na katika kile tulichowaruzuku wanatoa kwenye yale tuliyowaamrisha.