Al-Anfal 8:40 وان تولوا فاعلموا ان الله مولاكم نعم المولى ونعم النصير ٤٠
وَإِن
تَوَلَّوۡاْ
فَٱعۡلَمُوٓاْ
أَنَّ
ٱللَّهَ
مَوۡلَىٰكُمۡۚ
نِعۡمَ
ٱلۡمَوۡلَىٰ
وَنِعۡمَ
ٱلنَّصِيرُ
٤٠
Na kama wakigeuka basi jueni kwamba Mwenyezi Mungu ndiye Mola wenu, ni Mola Mwema na Msaidizi Mwema. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na wakiyapa mgongo hawa washirikina yale mliyowaitia, enyi Waumini, ya kumuamini Mwenyezi Mungu na Mtume Wake na kuacha kuwapiga vita nyinyi, na wakakataa isipokuwa kuendelea kwenye ukafiri na kuwapiga vita nyinyi, basi kuweni na yakini kwamba Mwenyezi Mungu ni Mwenye kuwasaidia na kuwapa ushindi ju…
Na wakiyapa mgongo hawa washirikina yale mliyowaitia, enyi Waumini, ya kumuamini Mwenyezi Mungu na Mtume Wake na kuacha kuwapiga vita nyinyi, na wakak…