Al-Anfal 8:5 كما اخرجك ربك من بيتك بالحق وان فريقا من المومنين لكارهون ٥
كَمَآ
أَخۡرَجَكَ
رَبُّكَ
مِنۢ
بَيۡتِكَ
بِٱلۡحَقِّ
وَإِنَّ
فَرِيقٗا
مِّنَ
ٱلۡمُؤۡمِنِينَ
لَكَٰرِهُونَ
٥
Kama Mola wako Mlezi alivyo kutoa nyumbani kwako kwa Haki, na hakika kundi moja la Waumini linachukia. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na kama mlivyotafautiana juu ya ugawaji wa ngawira, na Mwenyezi Mungu Akauondoa kwenu na Akauweka kwa Mwenyezi Mungu na Mtume Wake, rehema na amani zimshukiye, hivyo ndivyo Mola wako Alivyokuamrisha utoke Madina uende kupambana na msafara wa Makureshi kwa wahyi aliyokujia nao Jibrili, pamoja na kuwa…
Na kama mlivyotafautiana juu ya ugawaji wa ngawira, na Mwenyezi Mungu Akauondoa kwenu na Akauweka kwa Mwenyezi Mungu na Mtume Wake, rehema na amani zi…