Al-Anfal 8:57 فاما تثقفنهم في الحرب فشرد بهم من خلفهم لعلهم يذكرون ٥٧
فَإِمَّا
تَثۡقَفَنَّهُمۡ
فِي
ٱلۡحَرۡبِ
فَشَرِّدۡ
بِهِم
مَّنۡ
خَلۡفَهُمۡ
لَعَلَّهُمۡ
يَذَّكَّرُونَ
٥٧
Basi ukiwakuta vitani wakimbize walio nyuma yao ili wapate kukumbuka. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Pindi utakapopambana na hawa, wanaovunja ahadi na mapatano, katika vita, wape adhabu ambayo itatia kicho kwenye nyoyo za wegine na itaitawanya mikusanyiko yao, huenda wao wakazingatia wasiwe na ujasiri wa kufanya kama yale waliyoyafanya waliotangulia.
Pindi utakapopambana na hawa, wanaovunja ahadi na mapatano, katika vita, wape adhabu ambayo itatia kicho kwenye nyoyo za wegine na itaitawanya mikusan…