Al-Anfal 8:59 ولا يحسبن الذين كفروا سبقوا انهم لا يعجزون ٥٩
وَلَا
يَحۡسَبَنَّ
ٱلَّذِينَ
كَفَرُواْ
سَبَقُوٓاْۚ
إِنَّهُمۡ
لَا
يُعۡجِزُونَ
٥٩
Wala wasidhanie wale walio kufuru kwamba wao wametangulia mbele. La, wao hawatashinda. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na wasidhanie wale ambao walizikanusha aya za Mwenyezi Mungu kwamba wao washapita na washaokoka na kwamba Mwenyezi Mungu Hawawezi; hakika wao hawatakwepa adhabu ya Mwenyezi Mungu.
Na wasidhanie wale ambao walizikanusha aya za Mwenyezi Mungu kwamba wao washapita na washaokoka na kwamba Mwenyezi Mungu Hawawezi; hakika wao hawatakw…