Al-Anfal 8:8 ليحق الحق ويبطل الباطل ولو كره المجرمون ٨
لِيُحِقَّ
ٱلۡحَقَّ
وَيُبۡطِلَ
ٱلۡبَٰطِلَ
وَلَوۡ
كَرِهَ
ٱلۡمُجۡرِمُونَ
٨
Ili ahakikishe Haki na auvunje upotovu na wangachukia wakosefu. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Ili Mwenyezi Mungu Aupe nguvu Uislamu na watu wake na auondoe ushirikina na watu wake ingawa washirikina watalichukia hilo.