Al-Ankabuut 29:23 والذين كفروا بايات الله ولقايه اولايك ييسوا من رحمتي واولايك لهم عذاب اليم ٢٣
وَٱلَّذِينَ
كَفَرُواْ
بِـَٔايَٰتِ
ٱللَّهِ
وَلِقَآئِهِۦٓ
أُوْلَٰٓئِكَ
يَئِسُواْ
مِن
رَّحۡمَتِي
وَأُوْلَٰٓئِكَ
لَهُمۡ
عَذَابٌ
أَلِيمٞ
٢٣
Na walio zikanusha Ishara za Mwenyezi Mungu na kukutana naye, hao ndio wenye kukata tamaa na rehema yangu, na hao ndio wenye kupata adhabu chungu.
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na wenye kukanusha hoja za Mwenyezi Mungu na kupinga dalili Zake, hao hawatakuwa na matarajio ya rehema yangu huko Akhera watakapoishuhudia adhabu iliyoandaliwa kwao, na wao watakuwa na adhabu yenye uchungu na iumizayo.
Na wenye kukanusha hoja za Mwenyezi Mungu na kupinga dalili Zake, hao hawatakuwa na matarajio ya rehema yangu huko Akhera watakapoishuhudia adhabu ili…